Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

November 30, 2012

-§- Jifunze hatua6 za namna ya kufunga Tai..!i..



Utafiti uliofanywa na Maisha Times umegundua kwamba baadhi ya vijana wengi katika kizazi cha sasa haswa wale wa kiume hawajui kabisa namna ya kufunga tai! na pindi inapotokea kuhitaji kuvaa tai wengi wao hulazimika kuwaomba Wazazi, Walezi wao au baadhi ya watu wanaojihusisha na mavazi kuwasaidia kufungia tai zao ili waweze kuzivaa jambo ambalo kwa baadhi ya wafanyabiashara wa mavazi huwatoza gharama kidogo kwaajili ya kufanikisha zoezi hilo.

No comments:

Post a Comment