Advertise with Us

Advertise with Us

DHall

DHall

Pages

November 30, 2012

Video ya Psy's "Gangnam Style" Kufikia watazamaji "Bilioni1"

 Psy

Tarehe 11.12.2012 Video ya Psy's "Gangnam Style" inatarajia kuwa Video ya kwanza ya You Tube kuangaliwa na watazamaji bilioni moja katika kipindi cha miezi michache tangu kutoka kwake. Kulingana na utafiti uliofanywa na marketer WordStream inaripotiwa kwamba kwa sasa video hiyo inaangaliwa na watu zaidi ya 4,062 kila dakika. Psy ambaye ni msanii  kutokea Korea Kusini mwenye umri wa miaka 34 amekuwa ni msanii ambaye ameweza kupata umaarufu mkubwa duniani kote na kutajirika kwa muda mfupi kutokana na kibao chake hicho almaarufu kama "Gangnam Style"

 Kwa habari zaidi bofya hapa http://en.wikipedia.org/wiki/Gangnam_Style

No comments:

Post a Comment